Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

45+9 ' Mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Samora Iringa ambapo Lipuli FC wako nyuma kwa bao moja dhidi ya Yanga SC
 
Ndyo maaaana Hahahaha atakufa kwa pressure Leo aongozane na kingunge
Pima maneno ya kuongea. Why niongozane na Kingunge? Wapi hapajakufurahisha, mchezo uko balance kwa pande zote mbili ndo yanayojiri.

Lipuli FC 0-1 Yanga SC
 
Mpira umeanza kipindi cha pili uwanja wa Samora

Lipuli FC 0-1 Yanga
 
Lipuli wameanza kwa kasi kwa mashuti mawili ambayo yameokolewa na golikipa Rama Kabwili
 
Gadiel Michael yuko chini baada ya kufanyiwa faulo na mabeki wa Lipuli FC
 
64' Jamal Mnyate anapewa kadi ya njano kwa kuchezea vibaya Gadiel
 
67' Lipuli FC 0-2 Yanga SC
 
Mabadiliko kwa upande wa Lipuli...!
 
Malim Busunguuu la la nje... Lipuli FC 0-2 Yanga SC
 
75 ' za mtanange uwanja wa Samora Lipuli FC wako nyuma ya goli mbili dhidi ya Yanga SC
 
Pole mtani nilikutania tu umepanic Na ww Jaman lol
Hamna shida mkuu. Nilishtuka ulivyo mtaja marehemu.. Namna gani hapa Lipuli FC wanashindwa kupata goli la kufuatia machozi

Lipuli FC 0-2 Yanga SC
 
Back
Top Bottom