Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Lipuli toka atoke Asante Kwasi haijawahi kufunga bao lolote.

Na hapa hakuna dalili zozote kupata bao zikiwa zimesalia dakika 3
 
Yanga wanafanya mabadiliko R.Daudi anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Mahadhi
 
87 ' inapiga kona kuelekea upande wa Yanga, inapigwa konaaaaa la nje.
 
90' za mtanange huu Uwanja wa Samora Iringa ambapo Lipuli FC wako nyuma kwa bao mbili dhidi ya Yanga SC
 
5' za ziada kwenye mchezo huu.
 
tapatalk_1516977285567.jpeg
 
Gadiel Michael anapewa kadi ya njano kwa kupoteza muda
 
Safi Yanga umewasha indicator lazima wakupishe urudi kwenye siti yako ya kila msimu
 
Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanja wa Samora.

90+5 ' Naam mpira umekwishaaaaaaaaaaaaa Yanga wameibuka na ushindi wa goli mbili bila majibu dhidi ya Lipuli FC

Asanteni sana.... Ghazwat
 
Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanja wa Samora.

90+5 ' Naam mpira umekwishaaaaaaaaaaaaa Yanga wameibuka na ushindi wa goli mbili bila majibu dhidi ya Lipuli FC

Asanteni sana.... Ghazwat
Hongera zako Mtani kwa kujitolea kutupa Updates.

Nakutegemea na kesho. [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom