Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

34' Singida United 0-1 Simba SC Namfua Stadium [emoji909]️
 
43' Singida United 0-1 Simba SC Uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️
 
45' za mchezo huu wa VPL zimemalizika uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️.. Simba wakitoka kifua mbele kwa 1-0 awamu hii ya kwanza
 
50' Kaseke anakosa goli la wazi kabisa ilikuwa nafasi nzuri
 
52' Niyonzima anaingia kuchukua nafasi ya Mavugo
 
56' Kambale anakwenda kwenye benchi na anaingia Usengimana
 
60' Singida United 0-1 Simba SC. Uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️
 
71' Golikipa Manula anapewa kadi ya njano..uwanja wa Namfua Stadium [emoji909]️
 
76' Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Kotei.. Upande wa Simba SC
 
Back
Top Bottom