Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Hii Timu Yangu Ya Simba Kweli Haina Huruma !!!
Yani imeshachukuwa Ubingwa lakini bado inatoa Dozi tu...
Yani imeshachukuwa Ubingwa lakini bado inatoa Dozi tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shindwa PepoNasubiri kuona Mnyama ananyweshwa mafuta mabichi ya Alzeti
Dk 90 bado hazijaishaShindwa Pepo
Ndoto za mchana sio nzuri mkuuNasubiri kuona Mnyama ananyweshwa mafuta mabichi ya Alzeti
Sanaaaaa zaidi ya rahaSimba inatupa rahaa
Bora niote hata mchana kuliko na kutoota kabisaNdoto za mchana sio nzuri mkuu