Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

Naona na wewe umeamua kuandika kwa rangi Nyekundu kuonesha wewe ni mpenzi wa Simba,Mwenye kuihofia Yanga.
Umechemsha mimi ninashabikia timu ya hapa mkoani kwangu ambayo ni Majimaji Au ukipenda tuite wanalizombe
 
Umechemsha mimi ninashabikia timu ya hapa mkoani kwangu ambayo ni Majimaji Au ukipenda tuite wanalizombe
Umeona kigezo cha Rangi kilivyo complicated?utakua umekosea pia kutafsiri rangi ya viatu vya refa.
 
ila yule kipa wa mtibwa nuksi kweli kweli, sijui mikia walimchana ngapi ili azuie!
 
Mchezaji wa Yanga asiyetumia mikono wala miguu kucheza mpira aliamua kupuliza kipenga baada ya kuona mashambulizi yanaelemea katika goli lake zikiwa zimebaki sekunde zaidi ya 50

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Leo nataka nithibitishe sarakasi za mpira wa tz nasubiri penalt na kadi nyekundu ili mpira huu niutelekeze kabisa maana nimeona wadau wanalalamika kadi nyekundu penalt zikikosekana basi majungu
Kwa hiyo umethibitisha Yanga bora kuliko mikia.
 
Back
Top Bottom