Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechemsha mimi ninashabikia timu ya hapa mkoani kwangu ambayo ni Majimaji Au ukipenda tuite wanalizombeNaona na wewe umeamua kuandika kwa rangi Nyekundu kuonesha wewe ni mpenzi wa Simba,Mwenye kuihofia Yanga.
Umeona kigezo cha Rangi kilivyo complicated?utakua umekosea pia kutafsiri rangi ya viatu vya refa.Umechemsha mimi ninashabikia timu ya hapa mkoani kwangu ambayo ni Majimaji Au ukipenda tuite wanalizombe
Hovyo Sana, hasa mafanikio yakiwa kwa mpinzani wako!Mpira wa kibongo bana
Refa wa kwenu. Mjadala nimeufunga.Hovyo Sana, hasa mafanikio yakiwa kwa mpinzani wako!
Kumbe unaipenda YANGASiipendi Yanga wala simba.
Ila kama Azam tutashindwa kubeba ndoo basi ni heri Kandambili wabebe,kuliko Mikia.
Hahahaah tunapanda ndege msimu huu.Unashangaa nini? Mtaishia kucheza mabonanza tu ndege hampandi.
Shabiki wa yanga huyoKumbe unaipenda YANGA
Cha umuhimu ni zile pointi 3.Walikuwa wanaongoza goli moja Na ndilo waliloshinda hadi mwisho
Kwa hiyo umethibitisha Yanga bora kuliko mikia.Leo nataka nithibitishe sarakasi za mpira wa tz nasubiri penalt na kadi nyekundu ili mpira huu niutelekeze kabisa maana nimeona wadau wanalalamika kadi nyekundu penalt zikikosekana basi majungu
Kweli mtibwa wamekalia kimokoWanafungwa muda si mrefu