NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Goli moja mlilopata ndo limewatoa mafichoni!!Utelembwe bhana. Akili mmeacha mkiani au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli moja mlilopata ndo limewatoa mafichoni!!Utelembwe bhana. Akili mmeacha mkiani au?
Mkuu hivi mtibwa bado hawajajua kazi yako.Muda bado yani hapa nilipo nimevua mpaka gagulo ...wameroga sana hawa vyura
Fiston mpepigwa
88' Yanga 1-0 Mtibwa
Yanga wamerudi wote nyuma kuzuia
hawezi hata kutuliza mpiraFiston mpepigwa
Wametumwa kuniharibia hawa[emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35]Mkuu hivi mtibwa bado hawajajua kazi yako.
Hadi wanakubali kufungwa na yanga
Mshaanza visingizio.
Kessy achunguzweHii mechi ichunguzwe kuna kila dalili Mtibwa wameuza mechi ama baadhi ya wachezaji wa Mtibwa wamepewa kamlungula.
Wamekosa goli la wazi kwa makusudi kabisa.
Uto watasema tunawapigia kelele au tunawalalamikia yaliyotokeaKessy achunguzwe
Yanga 1-0 Mtibwa
yaKessy achunguzwe
yamekuwa hayo tenaKessy achunguzwe