Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya tunawasubiri na ninyi muwaduwaze waarabu.Dakika 14 Gor Mahia wanawaduwaza Esperance. Gor 1-0 Esperance.
mi nilimuuliza jana kama atakuwepo uwanjani!!au ndo amenunua hati miliki ya uzi halafu anategemea watu wengine ndo wamfanyie updates!Uliye anzisha huu UZI tunaomba utupe haki yetu (Updates). Mpira ushaanza lakini hakuna Updates zozote mpaka sasa.
Uwanjani...!
Nahisi unataka ban.
haya tunawasubiri na ninyi muwaduwaze waarabu.
mi nilimuuliza jana kama atakuwepo uwanjani!!au ndo amenunua hati miliki ya uzi halafu anategemea watu wengine ndo wamfanyie updates!
ukishikilia uzi lazima pia utoe updates!Duh wakuu.., hata kutoa updates ni kulazimishana ?, mi nilidhani ni uzalendo tu na kutoa msaada.
mi nilimuuliza jana kama atakuwepo uwanjani!!au ndo amenunua hati miliki ya uzi halafu anategemea watu wengine ndo wamfanyie updates!
UNAACHA kwako kunaungua unaenda kuchungilia kwa jirani, kweli Jamani?Dakika 14 Gor Mahia wanawaduwaza Esperance. Gor 1-0 Esperance.