LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Uliye anzisha huu UZI tunaomba utupe haki yetu (Updates). Mpira ushaanza lakini hakuna Updates zozote mpaka sasa.
mi nilimuuliza jana kama atakuwepo uwanjani!!au ndo amenunua hati miliki ya uzi halafu anategemea watu wengine ndo wamfanyie updates!
 
Dk ya 25 yanga wanapata kona.Yanga inabidi watafute mtu wa kupiga vichwa..
 
images
 
Msuvaaaaa....mama yangu kiiza kaacha mpira kaenda yeye kwenye nyavu..
 
mi nilimuuliza jana kama atakuwepo uwanjani!!au ndo amenunua hati miliki ya uzi halafu anategemea watu wengine ndo wamfanyie updates!

Duh wakuu.., hata kutoa updates ni kulazimishana ?, mi nilidhani ni uzalendo tu na kutoa msaada.
 
Dk ya 27 bila bila. Hawa waarabu wahuni sana. wanapotezaa na kutuliza presha ya yanga...
 
Yanga mbona wanawachelewesha hawa waarabu?
 
Aboutrika yupo?mi nataka hawa yanga leo wapigwe 8
 
Back
Top Bottom