Hizo 7 mbona zinachelewa sasa, au tutaenda kuwafungwa kwao?
Huu ndio uzuri wa kukaa VIP...
Simba wameloga, wamesoma dua.
Ulitakiwa useme "Naona dalili ya kutolewa". Sio Naona dalili ya kutolewa kwa tabu. Kwani kuna kutolewa kusiko kwa tabu?Naona dalili za "kutolewa kwa taabu"
matatizo hayapo kati ya Azam na Yanga kama taasisi bali mtu mmoja mwenye nguvu ndani ya Yanga
...watanzania' tumeambiwa tuwe wazalendo!
angalia kuna post za viti kuvunjwa na pia weka picha nitaikuza mkuu..Chupa zinarushwa hapa uwanjani..hili ndio tatizo la viroba.