LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Kazi nzuri Yanga. Nawatakia kila la heri.
 
matatizo hayapo kati ya Azam na Yanga kama taasisi bali mtu mmoja mwenye nguvu ndani ya Yanga
...watanzania' tumeambiwa tuwe wazalendo!
 
Al ahly wanafanya mabadiliko. kaingia Mahmoud Ibrahim
 
MMG25849.jpg
 
Chupa zinarushwa hapa uwanjani..hili ndio tatizo la viroba.
 
heshima kwenu wadau wa soka wengine tuko mbali na tv mtujuze matokeo ya mechi,asanteni
 
dk 20 kipindi cha 2;


Yanga 0-0 Al Ahly
 
Back
Top Bottom