LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Tangazo kuu maalum, kelele ziishie hapa hapa uwanjani atakae amua kuziamishia mpaka mitaani nitamwaga ubongo na gobole langu la urithi. CC MANDIETA.
 
hongera yanga kwa kutetea ushindi wa nyumba msimu huu kwenye klabu bingwa jitahidini muwatoe hawa waarabu ili tuongeze timu klabu bingwa heri ya kipemba kwa kunusuru na droo ya waarabu..
 
Maaarab kabaishiwa...
Gang chomba kesho atakuwepo hapa
 
Yaani vimkia walijiona wao tu ndio wana hati miliki ya kuwatoa waarabu, ngoja muone sasa nyi mliwatoa kwa penalty sisi tutawachapa home and away.
 
mkuu pole sana na majukumu maana sijakuona kabisa leo...
 
Naona Mmepata La Kujifariji
Wiki Nzima Wataongea Sana

Poa tu!mbona wengine huwa wanajifariji na uhai cup,mtani jembe cup,captain komba cup,mapinduzi cup na mengine kama hayo!
 
Na Azam sio Yanga...Ni timu mbili tofauti..

Ingawa Azam=Simba=Failures=losers
mandieta kasema hamtaongea sana ila naona ndugu unaongea sana baada ya gemu lakini sio mbaya tusubirie second leg ili muongee vizurii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…