LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Tangazo kuu maalum, kelele ziishie hapa hapa uwanjani atakae amua kuziamishia mpaka mitaani nitamwaga ubongo na gobole langu la urithi. CC MANDIETA.
 
hongera yanga kwa kutetea ushindi wa nyumba msimu huu kwenye klabu bingwa jitahidini muwatoe hawa waarabu ili tuongeze timu klabu bingwa heri ya kipemba kwa kunusuru na droo ya waarabu..
 
Maaarab kabaishiwa...
Gang chomba kesho atakuwepo hapa
 
Yaani vimkia walijiona wao tu ndio wana hati miliki ya kuwatoa waarabu, ngoja muone sasa nyi mliwatoa kwa penalty sisi tutawachapa home and away.
 
Watu wengine sijui mna laana!..

Hivi hamuoni aibu?..

Kwani Yanga hawajafunga goli?..

Rage anawaharibu sana nyie, huko nyuma hamkuwa hivyo..haishangazi hamjashiriki mashindano ya CAF mara mbili mfululizo na mnaelekea mara ya 3

Mpira wa miaka hii sio sawa na wa mwaka 47

Al Ahly anaweza akafungwa hata kwao Cairo..
mkuu pole sana na majukumu maana sijakuona kabisa leo...
 
Na Azam sio Yanga...Ni timu mbili tofauti..

Ingawa Azam=Simba=Failures=losers
mandieta kasema hamtaongea sana ila naona ndugu unaongea sana baada ya gemu lakini sio mbaya tusubirie second leg ili muongee vizurii..
 
Back
Top Bottom