mandieta kasema hamtaongea sana ila naona ndugu unaongea sana baada ya gemu lakini sio mbaya tusubirie second leg ili muongee vizurii..
Wanachofanya waarabu wanawasoma yanga mpira wao kisha wakienda kwao watafute mbinu zakuwabana uwanjani ili wawazibue vibaya...wameshinda moja but tutegemee historia ya 82 kujirudia,Dar 1-1 Cairo 5-0.
Bao la uchawi nendeni cairo
Nyie wahuni tu. Mbona mnaanza kubadili lugha?
Watu wengine sijui mna laana!..
Hivi hamuoni aibu?..
Kwani Yanga hawajafunga goli?..
Rage anawaharibu sana nyie, huko nyuma hamkuwa hivyo..haishangazi hamjashiriki mashindano ya CAF mara mbili mfululizo na mnaelekea mara ya 3
Mpira wa miaka hii sio sawa na wa mwaka 47
Al Ahly anaweza akafungwa hata kwao Cairo..
Mkuu tueshinda 1 na ni matarajio yetu huko kwao kaa sio Suluhu basiJaman naomba matokeo ya Yanga tafadhal
Haya Unayoyaongea Hapa Tarehe Tisa. Hautakuwa Na La Kusema
Mkuu kuna popote niliposema hamtoshinda,me nimedadavua tu kwa jinsi nilivyoona ile mechi..mwarabu alikuwa ame-relux yanga wanazunguka na mpira wanavyotaka some time dk1 nzima humoni mchezaji wa al ahly kaushika mpira we unadhan ingekuwa kwao angeacha hilo litokee..kaka kubali hata goal mlilopata ni bahati tu ila maneno ni Cairo we ngoja utanambia..but niwapongeze kiingilio chetu leo kazi yake imeonekana.
Weraaaaaa....
Mwanzoni ilikuwa hapa,sasa imekuwa Cairo? Huo ndio uhuni ninaosema. Kama timu ilikuwa ikitengeneza nafasi, iweje goli liwe la bahati? Hao nduguzo walipotezwa mbaya. Na huo mpira wa kusubiri nyumbani ni wa kale, siku hizi unapigwa nje ndani. Kama unajua, unajua tu. Ucheni unazi wakagi mwingine.
Hahahaaa atakuwa mnyama siyo!
Hizi bwembwe ni za haka kagoli au kuna mengine mtaongeza kwenye kipindi cha michezo usiku tbc taifa
Ushindi ni ushindi tu...