LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Wanachofanya waarabu wanawasoma yanga mpira wao kisha wakienda kwao watafute mbinu zakuwabana uwanjani ili wawazibue vibaya...wameshinda moja but tutegemee historia ya 82 kujirudia,Dar 1-1 Cairo 5-0.

Nyie wahuni tu. Mbona mnaanza kubadili lugha?
 
Nakupendaje Yanga yangu, nilijua hamtatuangusha leo.
Kama nawaona walionuna na jezi zao za Al Ahly walizonunua.
Hahahaaaaa
 
Nyie wahuni tu. Mbona mnaanza kubadili lugha?

Mkuu kuna popote niliposema hamtoshinda,me nimedadavua tu kwa jinsi nilivyoona ile mechi..mwarabu alikuwa ame-relux yanga wanazunguka na mpira wanavyotaka some time dk1 nzima humoni mchezaji wa al ahly kaushika mpira we unadhan ingekuwa kwao angeacha hilo litokee..kaka kubali hata goal mlilopata ni bahati tu ila maneno ni Cairo we ngoja utanambia..but niwapongeze kiingilio chetu leo kazi yake imeonekana.
 
Watu wengine sijui mna laana!..

Hivi hamuoni aibu?..

Kwani Yanga hawajafunga goli?..

Rage anawaharibu sana nyie, huko nyuma hamkuwa hivyo..haishangazi hamjashiriki mashindano ya CAF mara mbili mfululizo na mnaelekea mara ya 3

Mpira wa miaka hii sio sawa na wa mwaka 47

Al Ahly anaweza akafungwa hata kwao Cairo..

naona umeamua kushindana na Alinacha + Abunuwasi kuota ndoto. Endelea huwenda zako zikaja kuvuma zaidi yao othewise "Mission is impossible"
 
JF wamenikera sana kuondoa ile ya kuona memba walioko ndani ya thread.
 
Mkuu kuna popote niliposema hamtoshinda,me nimedadavua tu kwa jinsi nilivyoona ile mechi..mwarabu alikuwa ame-relux yanga wanazunguka na mpira wanavyotaka some time dk1 nzima humoni mchezaji wa al ahly kaushika mpira we unadhan ingekuwa kwao angeacha hilo litokee..kaka kubali hata goal mlilopata ni bahati tu ila maneno ni Cairo we ngoja utanambia..but niwapongeze kiingilio chetu leo kazi yake imeonekana.

Mwanzoni ilikuwa hapa,sasa imekuwa Cairo? Huo ndio uhuni ninaosema. Kama timu ilikuwa ikitengeneza nafasi, iweje goli liwe la bahati? Hao nduguzo walipotezwa mbaya. Na huo mpira wa kusubiri nyumbani ni wa kale, siku hizi unapigwa nje ndani. Kama unajua, unajua tu. Ucheni unazi wakagi mwingine.
 
Mkuu acha mkwRa mbuzi,hiyo timu ya kupiga nje ndani ni Yanga hii hii au ni Yanga ya ndotoni
 
Back
Top Bottom