LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Nadhani kosa liko kwa wanausalama wetu. Kama hakuna arrests zilizofanyika, jeshi la polisi linapaswa kulipa fidia.


Polisi wakiamua kufanya kazi yao watawakamata wote hawa wahuni wa Simba
 

Hayo ni maneno tu ya nje wa uwanja,tumia AKIL bab mmeshindwa kushusha mvua za magoli hapa leo mkashinde misr,misr ha ha ha bora ingekua nchi nyngne lkn sio misr,nyie mmeifunga comoro goli 7 af mnachukua maisha mseleleko tu,ndan ya misr hamtok Abadan ,hamuwajui waaarab nyie,waulizen simba.afteral yanga hamna historiyah bab ya mech Kama iz,km mmeshindwa hapa kutia hata goli2,ujue mpo nje sema ofcoz lazma kujipa hope, bt wenyekujua mpira wameshaona halis,
 
mkuu, mm walinikera sana yani...wao hasira kidogo wanahamishia katika viti, kweli hali ikiendelea hv serikari inaweza kuzuia uwanja wake.
Serikali kuzuia uwanja wake haitowezekana, wakiuzuia waufanyie nini? Wachezee gwaride?
 
Kumbe mwenzangu unakaa ukiota mambo ya kale? Mpira siyo Physics wala Math, tukutane jumapili ijayo.
 

hahaha..hiki ni lugha gani?..nimeshindwa kukuelewa kama nisivyowaelewa mikia..aka wavunja viti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…