LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Last edited by a moderator:
Naam! Nimewafuma Yanga Dar African; wapo katikati ya jiji kwenye Hotel moja ya kitalii; "crews member"
-Hans Van P.
-Juma Pondamali
-Javu
-Jacob
-Dida
-Ngasa
-Twite
-Doitor
-Luhende
-Yondani
-Hafidh
-Kaseja
-Okwi
-Domayo
-Bahanuz
-Nizar
-Dilunga
-Oscar
-Didie
-Juma
-Chuji
-Haruna
-Kiiza
-Msuva
-Canavaro

*naona viongozi wengine wako pembeni wakiteta, "yawezekana wanafanya majadiliano jinsi mchezo utakavyokuw"
 
Tatizo haojamaa wakishinda patakua hapakaliki watajiona tayari washachukua ubingwa na wanauwezo wakucheza hata na Real Madrid. Ili niwaunge mkono kwanza waahidi hawatajisifu na kutusumbua kwa makelele yao humu, lasivyo "Wabigwe" tu.

Sawa tutaBigwa kama mlivyoBigwa nyinyi na wamachinga.
 
Kwa niaba ya wanayanga wa humu ndani,
Naahidi kwamba hatutajisifu ata tukimpiga mwarabu koko wiki.
Cc Masuke ndetichia Revocatus Kashaga ACCOUNT FULL watu8 ndomyana Makoye Matale Baba V Katavi kbm

Haya mambo ya mpira mimi siku hizi sina hamu nayo kabisa, nashukuru siku ya JKT Ruvu sikuwa na access na internet wala TV wala radio na matokeo nilikuja kuyapata usiku kabisa kwa sms la sivyo ningekuwa live JF sijui ingekuwaje.

Kuhusu mechi ya leo kiukweli yeyote atakayeshinda sawa tu na wala sitashabikia timu yoyote.
 
mkuu itabidi uwe unaupdates kwenye post ya kwanza itavutia zaidi.. kama tunavofanyaga..
 
Haya mambo ya mpira mimi siku hizi sina hamu nayo kabisa, nashukuru siku ya JKT Ruvu sikuwa na access na internet wala TV wala radio na matokeo nilikuja kuyapata usiku kabisa kwa sms la sivyo ningekuwa live JF sijui ingekuwaje.

Kuhusu mechi ya leo kiukweli yeyote atakayeshinda sawa tu na wala sitashabikia timu yoyote.
dah!huyu Rage jamani,mbona anapunguza majembe ya maana humu ndani loh!
 
team magoti fc go go go kirikuu leo mwarabu anakaa..
 
Back
Top Bottom