Al ahly timu,piga hao yeboyeboccmmafisadi bao 8 kwa nunge.
DullyJr natumia nokia 2680 kuingilia jamiiforum
Star TV mbona hakuna kitu? SS9 East wako Nairobi wakionesha mechi ya Gor Mahia v Esperance.
Mini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa
tulia wewe,hapa tz hakuna hayo mambo!
Simba gani hata mkia huna? Hapa hakuna cha Uzalendo wala nini. Uzalendo tungojane siku ikicheza TAIFA stars, sio yebo yebo.Mini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa
Sio kwamba wao ndio wawe wazalendo na kutuondolea dhana ya uteja, haijalishi moyo wako unataka nini au unasema nini kwenye keyboard.., mambo yote yatamaliziwa uwanjani na sio midomoniMini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa