LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Here's Young Africans Sports Club line-up to face Al Ahly today:
1. Deogratias Munish "Dida" - 30
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 (C)
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 6
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Emmanuel Okwi - 25
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Hamisi Kizza - 20

Subs:
1. Juma Kaseja - 1
2. Juma Abdul - 12
3. David Luhende - 3
4. Athuman idd "Chuji" - 24
5. Hassan Dilunga - 26
6. Said Bahanuzi - 11
7. Didier Kavumbagu - 7
 
Al ahly timu,piga hao yeboyeboccmmafisadi bao 8 kwa nunge.
DullyJr natumia nokia 2680 kuingilia jamiiforum
 
Last edited by a moderator:
Star TV mbona hakuna kitu? SS9 East wako Nairobi wakionesha mechi ya Gor Mahia v Esperance.
 
Al ahly timu,piga hao yeboyeboccmmafisadi bao 8 kwa nunge.
DullyJr natumia nokia 2680 kuingilia jamiiforum

Mini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa
 
Last edited by a moderator:
nahamia al ahly kwa mkopo toka mnyama ,piga hao yebo yebo
 
Mini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa

tulia wewe,hapa tz hakuna hayo mambo!
 
Mini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa
Simba gani hata mkia huna? Hapa hakuna cha Uzalendo wala nini. Uzalendo tungojane siku ikicheza TAIFA stars, sio yebo yebo.
 
Yanga Wanaongea Sana.
Mlizoea Kuwafunga Vbonde Wenzenu Haya Wafungeni Na Hawa Sasa
 
Uliye anzisha huu UZI tunaomba utupe haki yetu (Updates). Mpira ushaanza lakini hakuna Updates zozote mpaka sasa.
 
Mini simba dam lakn ifikie hatua tujitabambue nchikwanza na utakuta wengine wameiita mech hii tanzania vs misri hvyo kua mtu wa kujielewa
Sio kwamba wao ndio wawe wazalendo na kutuondolea dhana ya uteja, haijalishi moyo wako unataka nini au unasema nini kwenye keyboard.., mambo yote yatamaliziwa uwanjani na sio midomoni
 
...naam! Mambo ni bambam kutoka Uwanja wa Taifa!

dk ni ya 18,

Yanga 0-0 Al ahly
 
Back
Top Bottom