LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),


Hata mizinunua hizo nyekudu wala hao waarabu hawawajui kuweni Wazalendo.
 
Mbona hakuna updates zozote?mijitu mingne inakimbilia anzisha uzi afu haijui kanun na tatatibu,fakiiiii yuuuuu mwanzisha uzi huuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Yanga wameanza kidogo mashambulizi.
 
Kudadeki waarabu wamekoswa koswa...........
 
Huu mpira hauonyeshwi na TV station yoyote kwani hata TV station ya Al Ahly wanatangaza tu kwa sauti lakini hakuna kuonyesha live.

Tiba
 
Kipa wa Al ahly kaumia, ila nahisi ni mbinu ya mchezo kwa hawa waarabu.
 
Ni aibu mechi kubwa kama hii kutooneshwa na local tv stations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…