Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wamesimama ile mbaya
Ulikua wapi saa zote?Domayoooooo....konaaaaa
Nahisi unataka ban.dk ya 10 yanga wanaongoza goli mbili,okwi dk ya 7 na yondani dk ya 9.
Wamesimama Wapi
dk ya 10 yanga wanaongoza goli mbili,okwi dk ya 7 na yondani dk ya 9.
Mbinu ya kuwapunguza kasi yanga.Kipa wa Al ahly kaumia, ila nahisi ni mbinu ya mchezo kwa hawa waarabu.
Ulikua wapi saa zote?
Tuwaulize yanga.Ni aibu mechi kubwa kama hii kutooneshwa na local tv stations.