LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Kaseja asije kuanzishwa...huwa anaogopa rangi nyekundu.
 
duuu ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano lakini sio yanga kushinda mechi hiiii.

Hata kama wewe ni Simba,leo hebu onyesha uzalendo kidogo.
 
Hata kama wewe ni Simba,leo hebu onyesha uzalendo kidogo.

uzalendo wa nn tena MKUU.
kwani mpira ushindi wake ni uzalendo au uwezo?? kama hamna uwezo mkitegemea uzalendo basi pole yenu.
mpira mipango na uwezo sio longolongo za SIMBA na yanga
 
mkuuu muonee huruma tuuu na yeye sio yeye keshachanganyikiwa kitambo mbona huyuuuu.
nimepata nyeti kuwa hiyo ni dua ya kumfunga mwalabu Leo.

ww Anglia tu thread kaanzisha SAA ngapi utapata jibu.

Kama kuna watu wanawashwa humu JF basi ni wewe, unapenda kujitekenya mno!! Kuna haja sheria ya Uganda ije hapa JF.
 
Wakuu tokea jana nahangaika kutafuta tiketi lakini hadi sasa sijapata...
 
uzalendo wa nn tena MKUU.
kwani mpira ushindi wake ni uzalendo au uwezo?? kama hamna uwezo mkitegemea uzalendo basi pole yenu.
mpira mipango na uwezo sio longolongo za SIMBA na yanga

Mmmhh, maneno yako yana ukweli ndani yake..
 
YANGA ana alergy na nyekundu. Warab piga hao tumechoka maneno mtaani
 
Mtakaokwenda uwanjani tiwekeeni updates hapa, nasikia haitaonyeshwa live.
 
Back
Top Bottom