LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

naam mashabiki wengi wa kutupa hapa nnaona wa yebo yebo wamejipanga kushangilia ila nna wasi wasi wataondoka wakilia
 
mkuu, tiket yangu hapa inanionyesha ni saa kumi kamili.

Asante kiongozi, ngoja nitafute online live streaming labda nitabahatisha kuona jinsi Wael Gomaa atakavyokuwa anamzuia Okwi pamoja na Amr Gamal jinsi atakavyokuwa anawakimbiza Yondani na Nadir bila kusahau yule jamaa mweusi mwenye rasta atakavyokuwa anamkimbiza Mbuyu Twite.
 
kocha afanye yote lkn sio kumpanga kaseja golini.utafiti umeonyesha kuwa tunapocheza mechi za kimataifa kaseja ndo huwa weak link kutokana na kaumbo kake kadogo hivyo kuwavutia washambuliaji wa timu pinzani wapige mashuti mengi golini
 
Wana raha gani wakati Maharage kilakukicha anawazogoa tu.

Mkuu timu yetu inasaidiwa na ukongwe tu la sivyo mwaka huu ingeshuka daraja kabisa na pengine kupotea kwenye ligi kuu moja kwa moja kama vile Pilsner, Palsons ya Arusha, Ujenzi, na zingine nyingi zilizopotea.
 
Leo mtoto hatumwi dukani, Natamani kikosi cha Yanga (Tanzania) kiwe hivi: Na wewe unaweza kupendekeza
kiwe vipi, haya ni mawazo yangu:

1. Deogratius Mushi
2. Nadir Haroub
3. Oscar Joshua
4. Mbuyu Twite
5. Kelvin Yondan
6. Frank Domayo
7. Athumani Idd
8. Haruna Niyonzima
9. Didier Kavumbagu
10. Emanuel Okwi
11. Mrisho Ngassa

SUB:
1.Tegete,
2.Simon Msuva
3.Juma Kaseja
4.
5.


yaani hilo kosi ulivyolipanga vizuri utafikiri wewe ndo kocha.tuombe Mungu iwe hivyo maana jamaa zetu wamejipanga kwelikweli kuhakikisha kuwa al ahly anajisikia yuko nyumbani.
 
First eleven yangu iko hivi: 1.Deo Munis 2.Mbuyu Twitte 3.Oscar Joshua 4.Athuman Idd 5.Kelvin Yondan(C) 6.Frank Domayo 7.Simon Msuva 8.Haruna Niyonzima 9.Emmanuel Okwi 10. Hamis Kiiza 11. Mrisho Ngassa. SUB: Kaseja,Cannavaro, Luhende,Tegete,Kavumbagu,Nizar na Javu.
 
Mkuu timu yetu inasaidiwa na ukongwe tu la sivyo mwaka huu ingeshuka daraja kabisa na pengine kupotea kwenye ligi kuu moja kwa moja kama vile Pilsner, Palsons ya Arusha, Ujenzi, na zingine nyingi zilizopotea.
Amia Azam, Mkuu. Au umekunywa maji ya bendera kama ACCOUNT FULL na yebo yebo yake?
 
First eleven yangu iko hivi: 1.Deo Munishi 2.Mbuyu Twitte 3.Oscar Joshua 4.Athuman Idd 5.Kelvin Yondan(C) 6.Frank Domayo 7.Simon Msuva 8.Haruna Niyonzima 9.Emmanuel Okwi 10. Hamis Kiiza 11. Mrisho Ngassa. SUB: Kaseja,Cannavaro, Luhende,Tegete,Kavumbagu,Nizar na Javu.
 
Amia Azam, Mkuu. Au umekunywa maji ya bendera kama ACCOUNT FULL na yebo yebo yake?

Azam nitaishabikia tu siku wanacheza na Yanga au wanacheza mechi za nje lakini kuhamia na kuwa shabiki wao kabisa ngumu sana, nitaendelea tu na Mnyama hivyo hivyo huku nikizidi kupunguza ushabiki maana unaweza kujikuta unapata matatizo ya hypertension au hypotension bure.
 
Leo mtoto hatumwi dukani, Natamani kikosi cha Yanga (Tanzania) kiwe hivi: Na wewe unaweza kupendekeza
kiwe vipi, haya ni mawazo yangu:

1. Deogratius Mushi
2. Nadir Haroub
3. Oscar Joshua
4. Mbuyu Twite
5. Kelvin Yondan
6. Frank Domayo
7. Athumani Idd
8. Haruna Niyonzima
9. Didier Kavumbagu
10. Emanuel Okwi
11. Mrisho Ngassa

SUB:
1.Tegete,
2.Simon Msuva
3.Juma Kaseja
4.
5.


Huwezi kumwacha Msuva na Kiiza nje halafu ukampanga Athumani Idd, wewe ungekuwa kocha kila timu unayofundisha lazima ishuke daraja.
 
Kocha wa Yanga hana historia ya kufungwa kwenye uwanja wa nyumbani kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika na waarabu!
 
Back
Top Bottom