LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

mimi ni shabiki mnyama ila leo kiutanzania natamani waarabu wapigwe nyingi tu
 
yanga wajitahidi leo anga
lau washinde kama tukifungwa misri na kutolewa potelea mbali ila h
apa home tujitoe kimasomaso
 
yanga wajitahidi leo anga
lau washinde kama tukifungwa misri na kutolewa potelea mbali ila h
apa home tujitoe kimasomaso
mpaka waongea hivyo wenzio wanakosa kosa tu migoli..
 
Dk ya 42 bila bila. Hawa waarabu wanatafuta droo..
 
Domayo inabidi atafute timu nje ya nchi ana uwe mkubwa sana. Dk ya 44 bila bila.
 
Dkk 3 ya nyongeza YeboYebo bado anakimbizwa hapa uwanjan,,,still Nill Nill
 
Back
Top Bottom