Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Kwa maana ya kumuacha Azam. Utupolo akifungwa leo, hata ashinde mechi zote zilizosalia hawezi kufikisha points za mnyama alizokuwa nazo sasa. Mpaka leo Utopolo atabakia na mechi 7 na points zake 56. Akishinda zote atakuwa na points 56 + 21 = 77. Mnyama mpaka leo anazo 78...
Point 78-54 za tff zinazobaki ndio point halali za mnyero fc
 
Hii special kwa mtani wangu Shadeeya baada ya point 1.

Jumapili mnyama anatwaa ubingwa Mbeya. Deportivo la utopolo akishinda game zote atafikisha 78 ambazo Simba tayari anazo mkononi na Azam atakuwa na 79. Simba akishinda Jumapili ni 81.

Tutabaki kupambana GD na point za Yanga.

Simba Goal difference (GD) ni 53 wakati point za Yanga 57. Akicheza tunampiku.
 
Shadeeya mtani wangu nimekupiga kwenye point sasa hivi Jumapili nasubiri kutangazwa bingwa jijini Mbeya. Sasa napambana na wewe kwa kushindanisha GD na point zenu Deportivo la Vyura

Sasa hivi Simba Goal difference (GD) ni 53 wakati point za Yanga 57. Akicheza tunampiku bado 4 hapo
 
Back
Top Bottom