Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Yanga ni timu ya kijinga mnoo sijapata kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana ya kumuacha Azam. Utupolo akifungwa leo, hata ashinde mechi zote zilizosalia hawezi kufikisha points za mnyama alizokuwa nazo sasa. Mpaka leo Utopolo atabakia na mechi 7 na points zake 56. Akishinda zote atakuwa na points 56 + 21 = 77. Mnyama mpaka leo anazo 78...Hii mechi ya utopolo na Namungo ikibaki hivi hivi tunataka tu point 2Duh kumbe tar 27 wanakutana tena
Kwa maana ya kumuacha Azam. Utupolo akifungwa leo, hata ashinde mechi zote zilizosalia hawezi kufikisha points za mnyama alizokuwa nazo sasa. Mpaka leo Utopolo atabakia na mechi 7 na points zake 56. Akishinda zote atakuwa na points 56 + 21 = 77. Mnyama mpaka leo anazo 78...
Hawa marefa hawakomi..Added time ni 5min
Mabondia fc87' Yanga 1 - 2 Namungo
Yanga wanaanza fujo
Ni nini mbaya?Hawa marefa hawakomi..
Hawa wamebakia na maneno ya kujifariji tu sasaUTO kitu kinagonga, chuma cha pili sasa.
Halafu mnataka mshindane na Simba SC [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyura vikichomoa vinachukulia kama ushindi kwao...Nasikia wamechomoa!