OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #101
Clear offside ila lawama kwa Namungo. Wameshindwa kumiliki mpira hata dk 1 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya taifa ya wananchi lazima ibebweRefa bana muda wote huo
halafu offside sasaUtopolo wamesawazisha dakika ya 97.... wakati added time ilikuwa dakika 5 hahahahaa
Timu ya taifa ya wananchi lazima ibebwe
Namungo wakate rufaa. hii haikubalikikadri mechi zinavyobaki chache timu inayohonga inajulika clear offside achilia mbali dakika za ziada ila cha ajabu utotpolo wanahonga wapate draw
Umechambua utumbo mtupuNimeangalia mpira leo kwajicho la 3 ila Yanga wanakazi yakufanya....kuanzia dakika ya 1 mpaka mpira unaisha unaona approach yao ni mipira mirefu basi ambayo ndio plan A imegoma mapema tu ila wakaendelea kuikomalia.....kibaya zaidi mipira mirefu yenyewe upigaji ni shida kabisa hawawezi piga mipira mirefu yenye kuleta madhara., Niyonzima yupo vizuri kwenye long balls muda mwingine ni kumtumia anashuka kidogo chini anakuwa anaisambaza then anapanda....
Katika umiliki wa mpira Yanga wapo vibaya yani mchezaji anamiliki mpira anajichanganya mwenyewe hadi ananyang'anywa na adui......
Decision making kwa kikosi cha Yanga bado shida yani, Wachezaji wengi kama sio wote wanashindwa kufanya maamuzi kwa wakati sahihi, unaona mchezaji kama anataka piga pasi anasita anakuja kuporwa mpira na adui
Hata issue ya kocha nae naona anamatatizo na benchi lake la ufundi, timu inatumia nguvu nyingi kuliko akili, sijaona one two zenye kuvutia, sijaona triangle,sijaona polygon sijaona square sijaona kabisa tactic za kocha.....hauwezi funga timu kwa urahisi bila kiwa vizuri kwenye kutumia hesabu za miraba,pembetatu na nyingine kwenye kuandaa shambulizi na kushambulia.....
Clear chances first half wamepata 7 saa hizi unaleta uchambuzi mbuzi,ndiyo maana mkikutana nao mnagongwaNimeangalia mpira leo kwajicho la 3 ila Yanga wanakazi yakufanya....kuanzia dakika ya 1 mpaka mpira unaisha unaona approach yao ni mipira mirefu basi ambayo ndio plan A imegoma mapema tu ila wakaendelea kuikomalia.....kibaya zaidi mipira mirefu yenyewe upigaji ni shida kabisa hawawezi piga mipira mirefu yenye kuleta madhara., Niyonzima yupo vizuri kwenye long balls muda mwingine ni kumtumia anashuka kidogo chini anakuwa anaisambaza then anapanda....
Katika umiliki wa mpira Yanga wapo vibaya yani mchezaji anamiliki mpira anajichanganya mwenyewe hadi ananyang'anywa na adui......
Decision making kwa kikosi cha Yanga bado shida yani, Wachezaji wengi kama sio wote wanashindwa kufanya maamuzi kwa wakati sahihi, unaona mchezaji kama anataka piga pasi anasita anakuja kuporwa mpira na adui
Hata issue ya kocha nae naona anamatatizo na benchi lake la ufundi, timu inatumia nguvu nyingi kuliko akili, sijaona one two zenye kuvutia, sijaona triangle,sijaona polygon sijaona square sijaona kabisa tactic za kocha.....hauwezi funga timu kwa urahisi bila kiwa vizuri kwenye kutumia hesabu za miraba,pembetatu na nyingine kwenye kuandaa shambulizi na kushambulia.....
Tulia mikia ww,unadhan timu ya mbeleko hiyo?muda unaenda fasta sana,yaani Namungo analia kutoa sare,halafu Yanga ni sherehe
Timu zote za ligi zikisema zikate rufaa nyie mikia si mtakua na point 8!Namungo wakate rufaa. hii haikubaliki