Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Washapigwa ya pili,tunaenda kuchukua ubingwa kwa prison
Tunaweza tukauchukua tukiwa hotelini... Azam na Utopolo mechi zao ni tarehe 27. Sisi tarehe 28... Azam akitoa droo tu, tunapewa kombe tukiwa hotelini... Utopolo wameshatoka rasmi kwenye mbio ya Ubingwa matokeo yakibakia hivi leo
 
Hii mechi ya utopolo na Namungo ikibaki hivi hivi tunataka tu point 2
Tunaweza tukauchukua tukiwa hotelini... Azam na Utopolo mechi zao ni tarehe 27. Sisi tarehe 28... Azam akitoa droo tu, tunapewa kombe tukiwa hotelini... Utopolo wameshatoka rasmi kwenye mbio ya Ubingwa matokeo yakibakia hivi leo
Duh kumbe tar 27 wanakutana tena
 
Back
Top Bottom