OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #61
wajitahidi wapate hata kona tuUmbwa inapigwa huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajitahidi wapate hata kona tuUmbwa inapigwa huku.
Mkuu wewe ni Utopolo fchawa wasenge wamechachamaaa haaaa haaaaa
Yanga 1- 2 Namungo
Tunaweza tukauchukua tukiwa hotelini... Azam na Utopolo mechi zao ni tarehe 27. Sisi tarehe 28... Azam akitoa droo tu, tunapewa kombe tukiwa hotelini... Utopolo wameshatoka rasmi kwenye mbio ya Ubingwa matokeo yakibakia hivi leoWashapigwa ya pili,tunaenda kuchukua ubingwa kwa prison
Kwani si amesimamishwa? Au na wao wana team b kama sisi?Yanga 1- 2 Namungo
Duh kumbe tar 27 wanakutana tenaTunaweza tukauchukua tukiwa hotelini... Azam na Utopolo mechi zao ni tarehe 27. Sisi tarehe 28... Azam akitoa droo tu, tunapewa kombe tukiwa hotelini... Utopolo wameshatoka rasmi kwenye mbio ya Ubingwa matokeo yakibakia hivi leo
She's totally offlineShadeeya tunajua uko na majukumu ya kifamilia lakini njoo kidogo kuna jambo huku.
87' Yanga 1 - 2 NamungoDakika ya ngapi hukoooo
Kama kawaida yao87' Yanga 1 - 2 Namungo
Yanga wanaanza fujo