Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Tff fc mnachonga?wanaume wanapambana bila kutoa chochote nyie mnaweza?kadri mechi zinavyobaki chache timu inayohonga inajulika clear offside achilia mbali dakika za ziada ila cha ajabu utotpolo wanahonga wapate draw
Marefa hawa ndio wamewafanya nyie mikia kufikia hapo kwa maelekezo ya tffHuyu refa wa leo KMLMMK popote alipo..
Miamala ipo huko kwa mbumbumbu,toka ligi ianze ziketumika karibu bil 4 kuhonga,ndio mana yule mhindi akataka kukimbiaRefa kaongeza dk 8
Hii ndo miamala fc
Hata kale kamoja tulichowachomeka tulichukulia kama ushindiVyura vikichomoa vinachukulia kama ushindi kwao...
Point 78-54 za tff zinazobaki ndio point halali za mnyero fcKwa maana ya kumuacha Azam. Utupolo akifungwa leo, hata ashinde mechi zote zilizosalia hawezi kufikisha points za mnyama alizokuwa nazo sasa. Mpaka leo Utopolo atabakia na mechi 7 na points zake 56. Akishinda zote atakuwa na points 56 + 21 = 77. Mnyama mpaka leo anazo 78...
hawa marefa wakiachiwa hivihivi wanaharibu mpira wetu lazima wachukuliwe hatua juzi azam kalalamika leo wanarudia makosa hayohayoNamungo wakate rufaa. hii haikubaliki
haaa haaaHuyu refa wa leo KMLMMK popote alipo..
Draw ya halali sio ya mbeleko kama ilivyo kwa mnyerovyura wameibuka kwa wingi wakishangilia draw walikuwa wamejificha kwenye maji
Mbona nyuzi zilizo na heading ya mbumbumbu fc zinafutwa why?Nimecheka Sana Eti deportivo la .....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado mtalia sana....Point 78-54 za tff zinazobaki ndio point halali za mnyero fc
Tako moja fc walibebwa sanaPoint 78-54 za tff zinazobaki ndio point halali za mnyero fc
Mnyero mnafurahia dhambi mnayoifanya?Utopolo fc ...a.k.a....mbereko fc.
Walibebwa ili wakalitie tena aibu taifa,wazee wa khamsaTako moja fc walibebwa sana
Sawa nimekuelewaClear chances first half wamepata 7 saa hizi unaleta uchambuzi mbuzi,ndiyo maana mkikutana nao mnagongwa