Live Updates: Yanga Vs Namungo FC (VPL)

Mtani kwa hali hii nishainua mikono . πŸ‘πŸ‘
 
Shadeeya
Deportivo la Vyura washapigwa huku njoo uone πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

Mtani leo unalo
Uwiiii!! Baada ya hili goli tu nikapanda kitandani Mtani.

Hizi habari za mbili mbili ndo nimejua hii asubuhi. πŸ˜€
 
Timu zote za ligi zikisema zikate rufaa nyie mikia si mtakua na point 8!
we Uto unapata wapi ujasiri wa kujibizana na mimi?baki kujibizana na kina Namungo, KMC ndiyo level zako. Mimi tunabishana na kina AS Vita huko
 
Timu inayopendwa na Shadeeya inapaswa iwe ya netball siyo football. Upotolo netball club...
 
Uwiiii!! Baada ya hili goli tu nikapanda kitandani Mtani.

Hizi habari za mbili mbili ndo nimejua hii asubuhi. πŸ˜€
Pole mtani wangu japo angalau Molinga aliokoa jahazi lisizame kabisa. Jipangeni kwa mwakani mtutie changamoto
 
Lunyasi tunahitaji Alama 3 tu kujitangazia Ubingwa hiyo Jumamosi huko Mbeya...
Utopolo hata washinde zilizobaki hawatazigonga alama 81 za Lunyasi hiyo J'Mosi...na Prisons lazima akae tu. Tunarudi Dar makwapa Juu.
Wanunua mechi nyie.
 
MKWASA
Ndiye anaye ifanya Yanga iwe hapo ilipo.
Angeondoa chuki zake kwa MOLINGA na kimpanga kila mechi, yanga kwa sasa ingekuwa nafasi ya pili na kwa pointi nyingi dhidi ya Azam.
Kuna mechi Moringa anaishia Benchi na kumtumia YIKPE.
Kuna Mechi Moringa anaingizwa dakika ya
89.
Amezima hata ndoto za Moringa za kufikisha magoli Zaidi ya 15 eti kwakuwa Zahera alitamka hivyo.

Chuki zisizo za msingi za Mkwasa ndizo zimeifikisha Yanga hapo ilipo.

Jana Moringa anafunga na hata kushangilia alikataa, hata waliokuja kumpongeza aliwakatalia, hata pesa alizorushiwa na mashabiki baada ya mechi alikataa kuziokota.

Ngoja niwachonganishe tu, ila ukweli ubaki kuwa ukweli.
 
Huu mchango wako unafaa kuwa uzi unaojitegemea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…