Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtani kwa hali hii nishainua mikono . 👏👏Hii special kwa mtani wangu Shadeeya baada ya point 1.
Jumapili mnyama anatwaa ubingwa Mbeya. Deportivo la utopolo akishinda game zote atafikisha 78 ambazo Simba tayari anazo mkononi na Azam atakuwa na 79. Simba akishinda Jumapili ni 81.
Tutabaki kupambana GD na point za Yanga.
Simba Goal difference (GD) ni 53 wakati point za Yanga 57. Akicheza tunampiku.