LIVE Yanayojiri Kutoka Ukumbi wa Nyerere

LIVE Yanayojiri Kutoka Ukumbi wa Nyerere

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,686
Reaction score
14,373
Hapa tutapeana yanayojiri ukumbini

Nini matarajio yako?

Viongozi wa dini wafanya sala za ufunguzi akiwemo Mwamposa

Mkuu wa Mkoa anatoa salamu na kutambulisha wageni

Mwenyekiti wa wazee wa Dasalamu anaongea utumbo hadi AIBU
Anarudia porojo zilezile za Mwigulu kuhusu miundombinu kuharibika
 

Attachments

  • IMG_9346.jpeg
    IMG_9346.jpeg
    363.1 KB · Views: 21
Takataka futa thread hii. Mnajaza server bure
 
Mkuu wa mkoa anatoa salamu na utambulisho
 
Hapa tutapeana yanayojiri ukumbini

Nini matarajio yako?

Viongozi wa dini wafanya sala za ufunguzi akiwemo Mwamposa

Mkuu wa Mkoa anatoa salamu na kutambulisha wageni
Mbona wazee wenyewe washaanza kusinzia kabla ya kusikuliza pumba?
 
Takataka futa thread hii. Mnajaza server bure
Punguza jazba mkuu
Hapo ulipo nahakika unaangalia Tv au kusikiliza radio

Lengo ni kutaka kujua yanayojiri kwenye serikali hii DHALIMU
Sio wote wanaangali na kusikiliza wanaweza kupata updates hapa
 
Natamani nimsikie Samia anataka kutuambia nini. Atuambie ilikuwaje akapata kura 98% wakati kunankura kibao gu hazikuesabiwa hapa dsm?
 
Mwenyekiti wa wazee wa Dasalamu anaongea utumbo hadi AIBU
Anarudia porojo zilezile za Mwigulu kuhusu miundombinu kuharibika
 
Hapa tutapeana yanayojiri ukumbini

Nini matarajio yako?

Viongozi wa dini wafanya sala za ufunguzi akiwemo Mwamposa

Mkuu wa Mkoa anatoa salamu na kutambulisha wageni

Mwenyekiti wa wazee wa Dasalamu anaongea utumbo hadi AIBU
Anarudia porojo zilezile za Mwigulu kuhusu miundombinu kuharibika

Wazee wa Lumumba wamepoza kama vile wamemwagiwa maji ya baridi.
 
Huu ni mkutano wa BAKWATA sio naona vi baragashia na mitandio kama yote
 
Samuya anaongea sasa
 
Naona Samia anazidi kitia moto kwenye kibiriti
 
Back
Top Bottom