LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

Naona makambo alitambika kabla ya hii mechi [emoji23]
 
Hii mechi inaweza kuisha kwa magoli mengi, ila endapo makambo atasawazisha makosa yake
 
Vimechi vidogo vidogo halafu unaweka kikosi cha kwanza?

Mngefanya kujiamini kama simba alivyoweka kikosi chake hiyo jana, tuone kama mngechomoka
Makambo kikosi Cha kwanza?
 
makambo mchezaji wa Bonanza mechi za ligi anaufyata shenzi kabisaaaa
 
Vyura leo hawatalala utawasikia kho kho kho kho kho kwenye madimbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…