Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
May 2020 ndoo 2 za EPL & UCL zitakuwa zishatua Anfield.Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR yaani kote full upendeleo. Baadhi ya mechi ni Aston Villa , Man City , Leicester (Wakiwa nyumbani) hata hii mechi na Wolves nahisi itakuwa ni hivyo hivyo, EPL wawape kombe lao tu tumechoka upendeleo wa wazi...
Kwa hiyo ulitaka goli la offside liruhusiwe?Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona vvd aluvonawa b4 kupiga pasii ya gor haijaona varKwa hiyo ulitaka goli la offside liruhusiwe?
Mbona VAR iliangalia goli la Liverpool pia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umekula bhange za wapi? Ukinyoosha mkono maana yake umeshika? Kweli unaamini lalana alishika?Mbona vvd aluvonawa b4 kupiga pasii ya gor haijaona var
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitendo tu cha lalana kunyoosha mkono kuashilia kushika ile ni handball ya wazi kabisa
Mwisho wa siku, hata ulie vip humu jf, liverpool kashachukua epl, uzur liverpool wakibebwa huwa wanabebeka tofaut na hizo timu nyingine mfano city, juzi alibebwa lakin wapi,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ulitaka goli la offside liruhusiwe?
Mbona VAR iliangalia goli la Liverpool pia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kilaza uliona alivonyoosha ule mkono au hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee umekula bhange za wapi? Ukinyoosha mkono maana yake umeshika? Kweli unaamini lalana alishika?
Hamia huko mapema ukapate ubora unaoutaka.Wewe kilaza uliona alivonyoosha ule mkono au hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga itaendelea kuwa ligi bora kwa haya madudu ya epl yanayopanga matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana wivu wa kike!!Hamia huko mapema ukapate ubora unaoutaka.