Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR yaani kote full upendeleo. Baadhi ya mechi ni Aston Villa , Man City , Leicester (Wakiwa nyumbani) hata hii mechi na Wolves nahisi itakuwa ni hivyo hivyo, EPL wawape kombe lao tu tumechoka upendeleo wa wazi...
 
May 2020 ndoo 2 za EPL & UCL zitakuwa zishatua Anfield.

nakushauri unywe sumu tu ufe sasa hivi mapena ili ukwepe kufa kwa pressure mwezi May maana kifo cha pressure ni mateso makubwa!
 
Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ulitaka goli la offside liruhusiwe?

Mbona VAR iliangalia goli la Liverpool pia...

Mbona vvd aluvonawa b4 kupiga pasii ya gor haijaona var
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kitendo tu cha lalana kunyoosha mkono kuashilia kushika ile ni handball ya wazi kabisa

Mwisho wa siku, hata ulie vip humu jf, liverpool kashachukua epl, uzur liverpool wakibebwa huwa wanabebeka tofaut na hizo timu nyingine mfano city, juzi alibebwa lakin wapi,
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man u watawafuta machozi mashabiki kwa kumtwanga nyumbani kwake huyo livapu. Angalau asichukue kombe bila kupoteza mechi
 
Mbona vvd aluvonawa b4 kupiga pasii ya gor haijaona var
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kitendo tu cha lalana kunyoosha mkono kuashilia kushika ile ni handball ya wazi kabisa

Mwisho wa siku, hata ulie vip humu jf, liverpool kashachukua epl, uzur liverpool wakibebwa huwa wanabebeka tofaut na hizo timu nyingine mfano city, juzi alibebwa lakin wapi,
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umekula bhange za wapi? Ukinyoosha mkono maana yake umeshika? Kweli unaamini lalana alishika?
 
Kwa maana hiyo UEFA nao msimu uliopita walipanga kuwapa Liverpool Kombe la UEFA pamoja na UEFA Super Cup?

Vile vile FIFA walipanga kuwapa Liverpool Kombe la Dunia la Vilabu?

Unadhani kule ni Mbumbumbu na wana longolongo kama Mipira yenu ya Kibongo.

Mbona husemi kitu leo Man City walivyopewa assist na refa?

Halafu kuna Uzi kibao sasa hivi zinafunguliwa kuongelea suala moja.

Mods, unganisha hizi "takataka" zikae pamoja wanajaza server tu.
 
Back
Top Bottom