Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
- Thread starter
-
- #41
Unyama waliofanyiwa Wolves jana ni uthibitisho tosha kuwa bingwa ameshajulikana. Waingereza wana figisu sijawahi kuona.Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Figisu zimezidi wanaharibu ligi..Unyama waliofanyiwa Wolves jana ni uthibitisho tosha kuwa bingwa ameshajulikana. Waingereza wana figisu sijawahi kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unyama waliofanyiwa Wolves jana ni uthibitisho tosha kuwa bingwa ameshajulikana. Waingereza wana figisu sijawahi kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unyama waliofanyiwa Wolves jana ni uthibitisho tosha kuwa bingwa ameshajulikana. Waingereza wana figisu sijawahi kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
EPL ligi ya hovyo kabisa..nakumbuka Leicester city wanachukua kombe big four zote zinapigwa home and away na Leicester ili Arsenal asiwe bingwa
VAR ni aibu tupu, hali ikiendelea hivi kuna timu itabidi ibadili jina iitwe VAR football club.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siichukii liver hata kidogo, Klop nampenda kuanzia akiwa Dortmund na anafurahisha kwa mengi. Liver walikuwa wamepoteana kwa muda mrefu ni zamu yao wafanye vizuri kwa sasa. Cha msingi kumbuka Good or bad times don't last forever! Kesho na keshokutwa itakuwa zamu ya wengine. Mfumo wenyewe wa VAR hasa kwenye gemu tunayozungumzia umezua lawama na wahusika wamesema watatoa mwongozo mpya February kuhusu matumizi ya VAR! Kwa sasa enjoy football before your time expires!Kuichukia Liverpool ni sawa na kujichukia mwenyewe utateseka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
swali ni jee ile ni offside au sio offside na lalana aliunawa mpira au hakuunawa mnaona lkn mnajifanya hamuoni.Unyama waliofanyiwa Wolves jana ni uthibitisho tosha kuwa bingwa ameshajulikana. Waingereza wana figisu sijawahi kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa! Hadi mjifungue kwa uchungu mnaopotia, niwaambie tu liver hajachukua kombe bandoFigisu zimezidi wanaharibu ligi..
Achana nao hao vilazaswali ni jee ile ni offside au sio offside na lalana aliunawa mpira au hakuunawa mnaona lkn mnajifanya hamuoni.
Yaani na wewe unaamini liver anapendelewa?Siichukii liver hata kidogo, Klop nampenda kuanzia akiwa Dortmund na anafurahisha kwa mengi. Liver walikuwa wamepoteana kwa muda mrefu ni zamu yao wafanye vizuri kwa sasa. Cha msingi kumbuka Good or bad times don't last forever! Kesho na keshokutwa itakuwa zamu ya wengine. Mfumo wenyewe wa VAR hasa kwenye gemu tunayozungumzia umezua lawama na wahusika wamesema watatoa mwongozo mpya February kuhusu matumizi ya VAR! Kwa sasa enjoy football before your time expires!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaona kiulizo bro?
La liga hii ya kina barca wanapigwa 4 na Liver ya EPL? Au itakua VAR iliwabeba? Au ni la liga ipi hiyo?Wewe kilaza uliona alivonyoosha ule mkono au hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga itaendelea kuwa ligi bora kwa haya madudu ya epl yanayopanga matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app