Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza

Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza

1B9F0EAD-CBC5-4315-8585-D4C2ADEA6D98.jpeg
 
Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unyama waliofanyiwa Wolves jana ni uthibitisho tosha kuwa bingwa ameshajulikana. Waingereza wana figisu sijawahi kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie mnaosema VAR inapendelea Liverpool...mechi za Liverpool against Astonvilla...Man United...na Watford VAR haijakataa magoli ya Livepool?

Mechi ya man Orig alifanyiwa faulo man wakatia kambani...VAR haikuona...ikaja kukataa goli la Mane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuichukia Liverpool ni sawa na kujichukia mwenyewe utateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Siichukii liver hata kidogo, Klop nampenda kuanzia akiwa Dortmund na anafurahisha kwa mengi. Liver walikuwa wamepoteana kwa muda mrefu ni zamu yao wafanye vizuri kwa sasa. Cha msingi kumbuka Good or bad times don't last forever! Kesho na keshokutwa itakuwa zamu ya wengine. Mfumo wenyewe wa VAR hasa kwenye gemu tunayozungumzia umezua lawama na wahusika wamesema watatoa mwongozo mpya February kuhusu matumizi ya VAR! Kwa sasa enjoy football before your time expires!

Yaani na wewe unaamini liver anapendelewa?
 
Back
Top Bottom