Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
S'land wanapitia sana kwa J Enrique..........wamepata kona mbili na hii ya pili mpira umembabatiza SUAREZ....akakimbia nao na kukwatuliwa kwenye 18 ya S'land... PENALTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT..... Suarez akaipaisha mbaya... that was a GREAT MISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
Jamani Liverpool wanatandaza soka la uhakika, passi za uhakika , speed,...... Suarez anaiandika LFC goli la kwanza
Hio pace ya Downing simchezo lingekuwa bonge la goli.
Ndo mana naita uwezo binafsi... AW kalemba angekuwa EMirate huyu jamaa........ Ile machine aliyoachia basi tu sio bahati yake ... Ila lingekuwa among of the Best goals.... Ila so far jamaa anajua....
Wenger hakulemba aliongeza dau lakini jamaa mwenyewe alikataa Arsenal , kaenda liverpool hili apige story na waingereza wenzake.Arsenal wageni wengi (wafaransa). lol