watani habari zenu ... nimepewa ujumbe na wenger eti mnakikumbuka hiki kichapo..? anasema yeye bado ni kocha soccer ni ileile tu!
watani habari zenu ... nimepewa ujumbe na wenger eti mnakikumbuka hiki kichapo..? anasema yeye bado ni kocha soccer ni ileile tu!
Kwa kikosi cha Arsenal msiposhinda leo,kazi mnayo
Suarez on bench.....Kuyt in.......
Why King Kenny????
Hata mimi ameniboa kitendo cha kumpiga benchi Raul Maeireles ambaye msimu uliopita alifanya vizuri.Huyu Carol hastahili kuchezea Liverpool
Aiseee we mchokozi sana, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Suarez on bench.....Kuyt in.......
Why King Kenny????
watani habari zenu ... nimepewa ujumbe na wenger eti mnakikumbuka hiki kichapo..? anasema yeye bado ni kocha soccer ni ileile tu!
Aiseee we mchokozi sana, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Toa visingizio vya depleted banaaaa kuwa na majeruhi ama suspensions ni part of the game na sio excuse. Ndio maana kila timu ina kikosi cha watu 25-30. Vidic yuko out for 6 weeks, Gerrard out till October. Ferdinand ameumia.... Kwa hiyo Manure wakifungwa hakuna visingizioHongereni kwa kuwafunga (depleted) arsenal...ila huyo Roy Carroll mmmmh!
haka ka kware nimekacheki kule bandani kwake sijakakuta
kuna mtu amekaona?
Your happiness is for the day, mine is for years to come khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ulikuwa unanitafuta wapi? mfukoni mwako? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu usiwe na wasiwasi LFC wametumia advantage ya kuwa na Suarez, so Man City wamechemsha.Gerrard, naskia ManCity wameingia kwenye race, wanaweza kuharibu hiyo deal