Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haya wakuu leo tunawakaribisha Manchester City, nadhani vijana machungu ya kibano cha last weekend yatakuwa yamewa-motivate. Watataka kuyasahau na kusonga mbele.
 
Haya wakuu leo tunawakaribisha Manchester City, nadhani vijana machungu ya kibano cha last weekend yatakuwa yamewa-motivate. Watataka kuyasahau na kusonga mbele.
Tunashinda bila shaka, You will never walk alone
 
Timu leo iko hivi; Reina, Johnson, Skrtel, Agger, Enrique, Henderson, Adam, Downing, Gerrard, Bellamy, Kuyt.
Subs: Doni, Carroll, Maxi, Coates, Carrager, Shelvey na Kelly. Chama limetulia, Sharobaro Carroll yuko bench!
 
Kwa kweli ile penalty kama ya kibahati vile, refa angeweza kusema ni ball to hand.
 
Dah! Hii mechi ilikuwa ngumu. Lakini ndo hivo Liver 2-2 Man City,
(Liverpool 3-2 on aggregate). Majogoo tunaenda Wembley kukutana na Cardiff kwenye final.
 
Wembleeeeeeeeey tehtehteh sasa tufanye makosa ya Arsenal tutachinja mtu. haya leteni maneno yenu ya Mbuzi sijui Kondoo Kwenu inakuwa Gombe sio Ngo'mbe tehtehteh Ila Still Kenny akae Pembeni na Caroll wake na downing. Kuna Jamaa kanishikilia Sio Penalt nimemwambia endelea kubisha sio penalt watu tuko Final hata Captain wao Kompany Kule Twitter kasema Penalt. Walete Deshamps sasa au arudi Benitez. Safi sana Bellamy.
 
Safi sana vijana, man city hoi bin taaban. Leo mmetufurahisha, bado jmosi
 
Hongereni wakuu mmewaonyesha pesa sio soka .... .... ..
Waamue kunyoa sasa .. ..... ... maana walisuka.
 
Hongereni wakuu mmewaonyesha pesa sio soka .... .... ..
Waamue kunyoa sasa .. ..... ... maana walisuka.

DUh Kweli Ni Washa1 huyu? au Mtu Kaingia kwenye Account yake? kama kweli Asante hivi ndio mpira inavyotakiwa kupeana pole na hongera na kwenye uchokozi pia ni vizuri ila sio kwa matusi. Ukweli ni kwamba bila Uchokozi wa Washa1 hakuchangamki humu.
 
Ila leo Downing kajitahidi sana, ishu ilikuwa kwa Jordan Henderson.Ila Bellamy mashine nyingine kabisaakirudi Suarez wacheze wote pale mbele.... sijui nani atatukamata
 
Ila leo Downing kajitahidi sana, ishu ilikuwa kwa Jordan Henderson.Ila Bellamy mashine nyingine kabisaakirudi Suarez wacheze wote pale mbele.... sijui nani atatukamata

same same story over and over again.
Sijui akija nani fulani akipona, mara ooh sasa tumesajili fulani, eeh, King nani sijui ndo amerudi rasmi.?
Ninavyowajua Reds hawakawii kutuonesha maajabu hapo Wembley hiyo tar. 26.
Hongereni kwa kunifungia mwarabu though!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…