ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Haahaaahaaaa! Jamaa wa ajabu sana hawa. Hata hapa nina Liver wenzangu ambao tukishinda ndo utawaona hapa!! Kaazi kwelikweli.
mkuu jamaa anaumwa baada ya chamberlin kutoka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaaahaaaa! Jamaa wa ajabu sana hawa. Hata hapa nina Liver wenzangu ambao tukishinda ndo utawaona hapa!! Kaazi kwelikweli.
Tunashinda bila shaka, You will never walk aloneHaya wakuu leo tunawakaribisha Manchester City, nadhani vijana machungu ya kibano cha last weekend yatakuwa yamewa-motivate. Watataka kuyasahau na kusonga mbele.
Sure mkuu, inafaa tutoe kibano palepale Anfield, maana naona kama timu zinaanza kuuzoea huo uwanja!Tunashinda bila shaka, You will never walk alone
![]()
Hongereni wakuu mmewaonyesha pesa sio soka .... .... ..
Waamue kunyoa sasa .. ..... ... maana walisuka.
Ila leo Downing kajitahidi sana, ishu ilikuwa kwa Jordan Henderson.Ila Bellamy mashine nyingine kabisaakirudi Suarez wacheze wote pale mbele.... sijui nani atatukamataWembleeeeeeeeey tehtehteh sasa tufanye makosa ya Arsenal tutachinja mtu. haya leteni maneno yenu ya Mbuzi sijui Kondoo Kwenu inakuwa Gombe sio Ngo'mbe tehtehteh Ila Still Kenny akae Pembeni na Caroll wake na downing. Kuna Jamaa kanishikilia Sio Penalt nimemwambia endelea kubisha sio penalt watu tuko Final hata Captain wao Kompany Kule Twitter kasema Penalt. Walete Deshamps sasa au arudi Benitez. Safi sana Bellamy.
Ila leo Downing kajitahidi sana, ishu ilikuwa kwa Jordan Henderson.Ila Bellamy mashine nyingine kabisaakirudi Suarez wacheze wote pale mbele.... sijui nani atatukamata