Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Ni kweli maajabu yanakuja. Kombe la kwanza la msimu hilo.
 
Asante Mkuu.... Kila la heri kwenye Europa na ligi kuu, ila wachezaji wenu wajirekebishe vinginevyo hali yenu ya nidhamu sio nzuri

mkuu nahisi tutakuwa kama arsenane kushiriki ndio zetu..
 
Na nyie vipi kwa kushiriki EPL 20 something years and still counting .... ... . wivu tu khekhbe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee


TEHTEH DUH SASA HAPO SIJUI NANI ATAKUWA MWENYE WIVU KWANI ARSENAL "Champions League" ni lini walishinda? kama hawakushinda ni miaka mingapi hiyo sasa tuandikie, sio wivu au chuki ni ukweli ambao nataka kujuwa labda sijui. kuhusu EPL 20 and counting sie ni kweli hilo.
 
leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united
 
leo siongei sana jamaa wamepata moto baada ya kuwafunga man city mara kadhaa ila manchester united

kwa defence ipi ya manure ya kustopisha pace ya bellamy & co?

.......anyway, asante kwa utabiri "sheikh yahya".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…