Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Much as most of us expect a fast start by Liverpool, the tinker man RB may opt for something totally surprising....

Ni mlima mrefu kupanda lakini nina ka-imani kwamba tutapita

prediction: 3-1 and then we do penalties.... huhuhuuuu

Ni mtazamo wako!ila liver walishaingia choo cha kike tangu mechi iliyopita,mimi ni mdau mkubwa wa the blues,naamini liver watapata ushindi ambao hautatosha kuwapeleka sem-final.Mechi ya fainal ndio itatusumbua kidogo na naamini itakuwa kati ya Villareal v Chelsea.na Chelsea atakuwa bingwa.
Ndugu zetu wa Arsenal na nyie msubirie kichapo cha FA sem-final j'mosi.msimu huu the blues tunamaliza na vikombe 2.
 
L'pool wana kazi nzito leo ya kushinda kwa mabao 3 kwa bila. Lakini kwenye kandanda chochote kinaweza kutokea katika dakika 90 na L'pool wana historia nzuri ya kufanya kile ambacho wapenzi wemgi wa kandanda tulidhani hakiwezekani. Pamoja na hayo ukweli unabaki pale pale kwamba kuwafunga Chelsea 3 kwa bila pale Stamford siyo kazi rahisi.
 
Tushaanza kupakuwa ugali ndani ya daraja.

Liverpool 1 Chelsea 0

Go Liverpool
 
Liverpool 2 Chelsea 0

Naona Chelsea wanatafuta kichaka cha kwenda kujisaidia sasa....Ha ha haa I love this game
 
Liverpool 2 Chelsea 0

Naona Chelsea wanatafuta kichaka cha kwenda kujisaidia sasa....Ha ha haa I love this game

the game will change in the second half. expecting more from chelsea.
so far hongereni liver lakini sijui kama mtatoka!
 
...duh, mnh....wanachoooooonga kweli kweli hao!
 
Kwisha kazi Liverpool kwakweli!...so sad for them yaani 2-2 mpaka sasa
 
didn't I say so? and without the engine, you are finished my friends, sorry to say so. next year.
 
Chelsea 3-Liverpool 2 mpaka sasa, kweli matumaini yameisha!..Next time UEFA,jitahidini mpate PL angalau..
 
You will never walk alone at Stanford Bridge......lol
 
You will never walk alone at Stanford Bridge......lol

...dah 🙁

MTM, FMES, QM na wengineo poleni sana aisee, bado tupo pamoja lakini...hawa kina Belo na Icadon wanajifurahisha leo kwakujua kibarua cha kesho mnh!

Matanga siku tatu, kesho msiba unahamia kwao...biashara ya majamvi inashamiri kweli wiki hii.
 
Back
Top Bottom