Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea 4 Bolton 3

THERE'S life in the legs of these old Chelsea pensioners yet - but it only lasts for 70 minutes!

Goals from Michael Ballack, Frank Lampard and a double from Didier Drogba gave Guus Hiddink's reinvigorated side the points at Stamford Bridge.

But they had to survive incredible Bolton fightback in the last 20 minutes, after Andy O'Brien, Chris Basham and Matt Taylor had all scored in an EIGHT minute spell.

Hawa jamaa wanafungika hata goli 4. I hope wazee wa bwala la maini wanaweza kufanya mambo next tuesday!
 
Steven Gerrard reported LOST!

Steven Gerrard reported LOST! He was last seen in Essiens pocket, yet hasn't been seen since. If you know where he is, or you think he will turn up 2moro let Rafa know, he's getting worried.
 
Mzee Essien sio mchezo, alijua kikwapa chake soo akaacha kuoga three days, unafikiri kuna mtu atakaba hapo???????????????? Ni kupisha tu yaishe
 
...hivi kuna watu wesha wa rule out Liverpooll kwenye Champions Leagu eeh? 😀 mnh,...kesho wengi watashikwa na butwaaa...!
 
...hivi kuna watu wesha wa rule out Liverpooll kwenye Champions Leagu eeh? 😀 mnh,...kesho wengi watashikwa na butwaaa...!

Kesho Liverpool wanaweza kabisa kufanya mambo. Ukiwa na mtu kama Torres ndani, anything can happen....mliona goli la kwanza alilowadungua Blackburn!? it was a fabulous strike! Chelsea mchecheto tayari na bao zile 3 za Bolton ni pimajoto tosha.

Go Liverpool!
 
Kumbuka Chelsea sio Blackburn......!!
 
Yes, lakini wanafungika, tena hata goli 3 in 10 minutes!

Sasa mbona hamkuwafunga hizo walipocheza Anfield? I am not ruling Kops out lakini kuovercome hiyo deficit ya 3 goals na kuhakikisha hawafungi at Stamford Bridge ni tall order. Good luck though.
 
Leo ndio leo, liverpool wataizinishwa rasmi kuaga UEFA na kupongezwa kwa kushiriki. Liver Darajani hatoki bora muendelee kujipa moyo, matumaini na kujitia imani, ukweli utabaki kuwa ukweli mliingia choo cha kike anfield na imewacost.

Lakini mnayo nafasi katika premier.
 
- I believe makuu huenda kesho mambo yakawa tofauti, ingawa sio rahisi.

FMEs.

Poleni Wadau wa bwawa la maini!!!

Wanaoshi kwa matumaini ni wengi hapa duniani sio nyinyi peke yenu; endeleeni kuishi kwa matumaini yenu maana ktk futbol lolote linaweza kutokea!!!???😕
 
Much as most of us expect a fast start by Liverpool, the tinker man RB may opt for something totally surprising....

Ni mlima mrefu kupanda lakini nina ka-imani kwamba tutapita

prediction: 3-1 and then we do penalties.... huhuhuuuu
 
Hiyo Prediction yako ni mashaka matupu..leo naona kutakuwa na draw ya aina yoyote ndio utabiri wangu na kesho ni mwendo wa magoli tu
 
Hiyo Prediction yako ni mashaka matupu..leo naona kutakuwa na draw ya aina yoyote ndio utabiri wangu na kesho ni mwendo wa magoli tu

Duh..

Mzee hata matumaini kidogo hutaki kutupa? tukiwatoa Chelskum ntavunja kabati hata kama ni saa kumi usiku na kwenda kuselebuka
 
Duh..

Mzee hata matumaini kidogo hutaki kutupa? tukiwatoa Chelskum ntavunja kabati hata kama ni saa kumi usiku na kwenda kuselebuka

MTM

Leo kwa kweli hata mimi nashikilia tama. Yaani sioni kabisa mlango wa kutokea. Milango yote imepigiliwa bawaba mzito mno. Nafikiri ili tutoke itabidi tupate baraka za refarii na laizimeni wake. Mpira unadunda lakini....
 
Hiyo Prediction yako ni mashaka matupu..leo naona kutakuwa na draw ya aina yoyote ndio utabiri wangu na kesho ni mwendo wa magoli tu

Nakuunga mguu ktk draw yoyote mtu wangu; ila itakuwa ndio kupona kwenu!!!
 
Back
Top Bottom