Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ngoma bado ngumu kwenye aggregate Chelsea 7-5 mrudi kwenu mkapulizwe baridi. You will walkk alone ...lol
 
Eh! Hawa vipi mbona migoli inaingia tuu? Karma is a Bi7ch mlivyotufunga sisi na Madrid ndio mlijua mwisho wa dunia huh? I hope mtaacha kuongea uchafu.
 
...dah 🙁

MTM, FMES, QM na wengineo poleni sana aisee, bado tupo pamoja lakini...hawa kina Belo na Icadon wanajifurahisha leo kwakujua kibarua cha kesho mnh!

Matanga siku tatu, kesho msiba unahamia kwao...biashara ya majamvi inashamiri kweli wiki hii.

Mbu, kimyaaa!

Sisi tunaenda kuua kesho.....
 
Mbu, kimyaaa!

Sisi tunaenda kuua kesho.....

...ushauri wa bure; wamdunge masindano Rio aweze kucheza, halafu Tevez acheze na Rooney, hapo kidooooooogo naweza wapa matumaini.

YE, Umeliona Goli la kusawazisha la Barcelona Vs Bayern Munich leo? ....kudadadadadeeeki wallahi, Chelsea wana kibarua kigumu Nou Camp!
 
Hiyo Prediction yako ni mashaka matupu..leo naona kutakuwa na draw ya aina yoyote ndio utabiri wangu na kesho ni mwendo wa magoli tu

hayawi hayawi yamekuwa bado kesho kwa leo sina maneno mengi!!!! poleni wadau wa Anfield ...daima kudra haishindi uwezo!!
 
...ushauri wa bure; wamdunge masindano Rio aweze kucheza, halafu Tevez acheze na Rooney, hapo kidooooooogo naweza wapa matumaini.

YE, Umeliona Goli la kusawazisha la Barcelona Vs Bayern Munich leo? ....kudadadadadeeeki wallahi, Chelsea wana kibarua kigumu Nou Camp!

Sijaliona hilo bao, niko mzigo nilikuwa nauangalia kwenye mtandao.
Sisi atuangalii hayo, yeyote wetu tuu, Porto ndio wa kwanza, mambo ya 1999...
 
Walitucha ati match chache tumeruhusu magoli mengi

poleni saana magoli 7 match 2

kibarua kesho kwetu huh
 
Kwi kwi kwi kwi....poor Scousers, they can't even speak proper English!!!!

Its a bow and clap clap clap to Chelskum... you did it guys and you deserve it!!

It was a nail biting game with lots of goals and lots of character... Hhata tuseme nini a better team in the two legs proceeded. Liverpool had a good opportunity after first half, but they opted to "business as usual" until they got a shocker of three consecutive goals!!

This game reminds me of Real Madrid against Manure at Old trafford some year ago when real won 5-3

We usually say down but not done!!!! YNWA

Bravo to the lads for showing character!!
 
Dang...tumewakosakosa...!! Oh well, tutawakamata tena mwakani..
 
MTM ile mechi ilikuwa baada ya kushinda treble,(season ya 00-01) Herning Berg alipigwa chenga na Redondo mpaka akakaa chini. Poleni watani ngoma ndio mpaka mwakani tena.
 
Last edited:
MTM ile mechi ilikuwa baada ya kushinda treble(00-01) Herning Berg alipigwa chenga na Redondo mpaka akakaa chini. Poleni watani ngoma ndio mpaka mwakani tena.

Thanks Idacon for consoling the kops, baada ya zile goli mbili za first half roho yangu ilikosa amani kwasababu sikuona jitihada za liverpool kuprotect the lead and the saddest thing is when Mascerano teh "chief" left the pitch leaving Lucas the "lady" on pitch

anyway, its all about football, even that day SAF left beckham out and his gap was clear and he scored immediately afer being introduced

GENERALLY, GOOD GAME AND WORTH BEING THE GAME OF THE TOURNAMENT FOR THIS YEAR
 
Dang...tumewakosakosa...!! Oh well, tutawakamata tena mwakani..

...aaaaarrrrgggghhh QM usiseme hivyo, mwaka jana hawa hawa Chelsea waliwatoa! 🙁

...mwakani 'ombeni' team nyingine!
 
Lakini leo nimekubali kuwa LIverpool bila Gerard wanakuwa wagumu zaidi,i think kwa sababu wanakuwa hawana mtu wa kumtegemea.Goli nne wamefunga leo na Torres hajafunga hata moja!Siku amecheza tena home wamefunga moja na Torres ndio mfungaji...labda Benitez angelifikiria,...LOL!
 
- Mambo mengine bwana sometimes inaudhi sana, yaani mitimu mikubwa kufungana magoli nane ndio nini? Ahhhhgggrrr!

- Anyways tumetolewa hands down hakuna ubishi, labda mwakani tena, Liver tunahitaji marekebisho makubwa sana, kwenye kiungo na ushambuliaji bado hatuwezi kucheza total football.

FMES!
 
Hakuna marekebisho washambuliaji mnao kuyt torres tena ninawakubali mid mnao wazuri tu seme nyie bila ya Gerald hamwendi si ndio?
 
- Mambo mengine bwana sometimes inaudhi sana, yaani mitimu mikubwa kufungana magoli nane ndio nini? Ahhhhgggrrr!

- Anyways tumetolewa hands down hakuna ubishi, labda mwakani tena, Liver tunahitaji marekebisho makubwa sana, kwenye kiungo na ushambuliaji bado hatuwezi kucheza total football.

FMES!

Soccer siku hizi naona ishakuwa netball! goli 7/8 kawaida tu, wakti tulizoea 1-1, 1-2! duh...
 
Back
Top Bottom