Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nafikiri Benitez alimpiga benchi Skirtel sababu alichemsha ile game ya Chelsea ,sasa kazi anayo nimesikia Babel na Agger wanaondoka wamechoka kukaa benchi
 
I think its good for them ila Agger angekuwa patient kidogo... Last year he was rescued whe his career almost ended for doping; wakavunga kuwa ali-breakdown on his coming back to fitness; i wouldnt miss Babbel because he seems to have more of individual tactics that paying kama team... Benayoun, Riera, Kuyt are all way better as team player although he has more potentials

TBH, I WISH AGGER DECIDES TO STAY AND CARRA GETS COMPETITION
 
...duh, hii thread inaanza tena kusinzia, MTM vipi bro...au wimbi la Tsunami ya Champions League na wewe limekupitia?

Nanyi leo mnakibarua cha maana, Newcastle lazima ishinde ili isishuke daraja, wakati huo huo Man U nao wakiteleza kule kileleni nanyi mnawapumulia tena kisogoni! mkiteleza Chelsea haooo nyuma yenu...what a decider! 🙂
 
Mkuu;

IMEBIDI NIKAE KWANZA KUONDOA HANG-OVER MAANA NAONA MANURE WANATELEZA KAMA BAMIA... leo nimecheki game ya Mido nikaona kimeo tu...

LAKINI KAMA KAWA KWA MSIMU HUU TUTAFUKUZA MWIZI KIMYA-KIMYA TU MAZEE

CHELSKUM HAMNA KITU, WAO WAPAKI BASI TU MLANGONI NA BARCA... KESHO TUNAWAPA NEWCASTLE FOUR BY FOUR BY FAR, TUONE HUYO SHEARER KAMA KWELI NI MASIHI WAO

YNWA
 
AISEE!!!

Naona Arses wanakuja mbio kweli kuwania CHampions leagues automatic position!!!!! sijui wanajua zimebaki mechi ngapi???
 
Unajua 'The Reds' midomo yetu sio mirefu kama wale jamaa wengine, kile kichapo pale Trafold Kongwe bado akija wa-shape vizuri hawa Devils
 
aisee, marefa wa siku hizo ovyo kabisa. Alan Wiley ameamua kuwabeba Liverpool kwa mbeleko zote. duh! hii kali...
 
- Mkuu kubali ukweli kwamba Manu walipokula kama hizi hakuna aliyebebwa na refa, leo ilikuwa ni kuendeleza tu pale tulipoachia last week, saafi sana:-

Liverpool 3 West ham 0, sasa tusubiri next on line.........!

Respect.

FMES!
 
aisee, marefa wa siku hizo ovyo kabisa. Alan Wiley ameamua kuwabeba Liverpool kwa mbeleko zote. duh! hii kali...

Hii kali, tuliangalia mpira uleule wa West Ham na Liverpool au we uliangalia recorded tusiyoijua?

Sikuona kubebwa kwa aina yoyote kati ya Liver na the hammers!!

Liverpool for the last 6 games wamekuwa kwenye shooting practice tu hakuna timu ya kutusimamisha; na kama ingekuwa ni ligi yangu, ningepanga mechi zote zilizobaki tupige na Manure mpaka watage mayai uwanjani-- Ni kupiga tu four, four, four, for......
 
lol...makubwa haya..Sasa mboni hamkuanza hizo 4 X 4 toka mwanzo mwa ligi ?
 
Lengo lenu msimu huu ilikuwa ni kuifunga MANU na mmefanikiwa kwani tangu Benitez aje alikuwa hajawahi kuifunga MAN
 
Last time Liverpool imechukua ubingwa nilikuwa na miaka 5 nakwenda wa 6 hehehee!!! Juzi Gerrard anasema kuwa Liverpool watachukua ubingwa ndani ya miaka mitano ijayo, ina maana season hii ameshakata tamaa?
 
yahh lazima wakate tamaa mwisho wao ni point 86 ambazo Man u itazifikia kwa gemu moja tu na bado tutakuwa na gemu 2 zaidi tena moja wapo ni ya vibonde Hull. Mkuu anza kuweka tayari mahali pa kufanyia sherehe za ubingwa.
 
Back
Top Bottom