BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Good game liverpool kwa kuwafunga B'Burn leo..Congrats!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Steven Gerrard reported LOST!
Steven Gerrard reported LOST! He was last seen in Essiens pocket, yet hasn't been seen since. If you know where he is, or you think he will turn up 2moro let Rafa know, he's getting worried.
...hivi kuna watu wesha wa rule out Liverpooll kwenye Champions Leagu eeh? 😀 mnh,...kesho wengi watashikwa na butwaaa...!
Kesho Liverpool wanaweza kabisa kufanya mambo. Ukiwa na mtu kama Torres ndani, anything can happen....mliona goli la kwanza alilowadungua Blackburn!? it was a fabulous strike! Chelsea mchecheto tayari na bao zile 3 za Bolton ni pimajoto tosha.
Go Liverpool!
Kumbuka Chelsea sio Blackburn......!!
Yes, lakini wanafungika, tena hata goli 3 in 10 minutes!
Sasa mbona hamkuwafunga hizo walipocheza Anfield?.
- I believe makuu huenda kesho mambo yakawa tofauti, ingawa sio rahisi.
FMEs.
- I believe makuu huenda kesho mambo yakawa tofauti, ingawa sio rahisi.
FMEs.
Much as most of us expect a fast start by Liverpool, the tinker man RB may opt for something totally surprising....
Ni mlima mrefu kupanda lakini nina ka-imani kwamba tutapita
prediction: 3-1 and then we do penalties.... huhuhuuuu
Hiyo Prediction yako ni mashaka matupu..leo naona kutakuwa na draw ya aina yoyote ndio utabiri wangu na kesho ni mwendo wa magoli tu
Duh..
Mzee hata matumaini kidogo hutaki kutupa? tukiwatoa Chelskum ntavunja kabati hata kama ni saa kumi usiku na kwenda kuselebuka
Hiyo Prediction yako ni mashaka matupu..leo naona kutakuwa na draw ya aina yoyote ndio utabiri wangu na kesho ni mwendo wa magoli tu