punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Pamoja sana mkuu! Lkn mbona mnaadimika sana hapa?me ni red
Sure mkuu...there is only one red army. Wengine mbembwe 2. 2na carling, FA panapo uzima nalo lakwetu bado kukabidhiwa 2 mwakan top 4 lzm.
C ndo liverpool bhana.
Tupo mkuu, naona kinanuka huko!!
Tupo mkuu, naona kinanuka huko!!
Kwa mara ya kwanza nashawishika kwamba Big Andy ni mchezaji mzuri sana. Anahitaji tu kulishwaAsanteni wakuu. Leo haikuwa siku yetu. Tulianza kwa namna isiyo kawaida ya Liver na tulichelewa sana kureact hata baada ya kwenda nyuma. Lakini pia napata hisia kuwa tungepata mafanikio mwisho wa msimu hivi ingeweza kuathiri timu kwa kudanganyana kuwa tuko sawa! Tuna kakombe kamoja si haba, wacheni tumalize vibaya ili wawe makini kwa usajili ujao.
Haaahaaaa! Unaona sasa, haya ndiyo nilikuwa naogopa! Sasa jiulize..., Lile goli la pili lingesimama Daglish angetuambia timu iko bomba hakuna haja ya kusajili mshambuliaji! Waache uhuni, kama Lucas atapona, waongeze mabeki wawili na mshambuliaji anayejua nyavu zilipo basi.Kwa mara ya kwanza nashawishika kwamba Big Andy ni mchezaji mzuri sana. Anahitaji tu kulishwa
LiverpoolFCPamoja na kutokuwepo kwa KIUNGO kongwe wa Gerrard hakika hawa chelsea hawatatoka hapa uwanja wa nyumbani.
Dk 12 bado bila ya bila.
LiverpoolFC
Dakika ya 30 liverpool 3 - Chelsea 0 {Essien "og" 19, Henderson 25, Agger 28}