Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool chapa hao mbwa bao 5 kwa nunge kama simba na yanga juzi
 
mshikachuma

Kwanini unawachukia hivyo Chelsea? au ni sababu unatetea maslahi yenu{Kumaliza namba 3} ili kucheza Champions League?

Kweli zinaweza kuwa goli sita { ila inaweza isiwe liverpool wamekosa penalty}
Hakuna timu ninayoichukia hapa duniani kama Manchester na Barcelona...bora uniuwe kuliko kunilazimisha kupenda timu
hizo. Hwa Chelsea nawachukia kwa leo tu kwani waliwanyanyasa sana Liverpool three days ago...hata hivyo sasahivi
Chelsea wamepata goli moja
 
Dah mshikachuma

Hao Barcelona na Manchester{ ninahisi watakuwa Man Utd} wamekukosea nini mpaka uwe tayari kufa kuliko kuwashabikia?

Siku ikitokea Chelsea wakainyanyasa sana Manchester, wakija kurudiana utawa support Manchester, kama unavyowa support Liverpool leo?
 
Last edited by a moderator:
Liverpool chapa hao mbwa bao 5 kwa nunge kama simba na yanga juzi
Skype

wewe naona utakosea utabili wako {umesema 5 kwa nunge} chelsea wamefunga moja tayari

Ningekuwa ni gambler ningemsikiliza mshikachuma maana yeye utabili wake unaweza kuwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,Man U na Barca wanawaonea sana Arsenal...kibaya zaidi hata marefarii huwa wanakuwa upande wa timu hizi 2.
Sikatai ni kweli Man U na Barca ni timu bora sana duniani...lakini nao wanabebwa sana hadi inatia hasira
 
Mkuu,

Sasa hapo nimeelewa sababu yako ya kuzichukia timu hizo

Back To The Topic...... leo unaonaje Chelsea wanaweza kurudisha magoli hayo?
 
Skype

Kwahiyo kauli yako mpya ikoje? kuhusu mechi hii
 
Last edited by a moderator:
Mama mamaaaa Chelsea wanakosa bonge la bao hapa....somebody called lukaku
 
Mkuu,

Sasa hapo nimeelewa sababu yako ya kuzichukia timu hizo

Back To The Topic...... leo unaonaje Chelsea wanaweza kurudisha magoli hayo?
Mkuu hizo goli hazirudi ng'o!!!? sana sana zitaongezeka na wao Chelsea watabaki na hako kagoli kamoja au wata
bahatisha kapili basi. Leo imekula kwao
 
Ama kweli leo Liver wameokota mzoga...yaani zinapiga besera zinarudi.....
 
Liver wanafanya double change....max for kuyt.... na Downing fo Sterling....goooo laa laa laaa sterling anakosa bao hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…